Tuesday, March 26, 2013

MWANAMKE ALIYEPIGWA NA MUME WAKE BAADA YA KUFUMANIWA AKIGAWA HAKI YA MUMEWE KWA RAIA MWINGINE.


Ama kweli haki ya ndoa haichangiwi na binadanu, Jamaa baada ya kukuta mke wake akifanya mapenzi na mtu ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu. Wakati wa fumanizi, muwewe alizamilia kumfyeka na Panga yule mwanaume, lakini kwa bahati nzuri/mabaya mkewe wake akamshika mumewe ili kumfanya asimkate mfumaniwa, na kusababisha yule mfumaniwa kupata upenyo na kukimbia, hap ndipo hasira zaidi za mume zilipompanda na kuanza kumkata Mapanga mke wake, na kumuacha akiwa hajitambui......

No comments:

Post a Comment